Incubator

Incubator

Tt4tat boy

Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
45
Reaction score
11
Samahani wakuu naweza pata wapi incubator inayotumia mafuta ya taa ama solar yenye kubeba mayai 150 tuu pia bei ni tsh. ngapi kwa anae faham bei yake pia .PLEASE NAOMBA MSAADA
 
Samahani wakuu naweza pata wapi incubator inayotumia mafuta ya taa ama solar yenye kubeba mayai 150 tuu pia bei ni tsh. ngapi kwa anae faham bei yake pia .PLEASE NAOMBA MSAADA
Kwa hapa Tanzania ni ngumu kuzipata, ila ukitaka kuagiza Hongkong ni rahisi, mimi nimeziagiza sana najua. Kwo wewe jipange tu uagize nje, na kama huwezi mwenyewe kuna kampuni maalumu ya watanzania ya kuwaagizia watu bidhaa nchi za nje, wacheck hapa www.kalumbilo.online
 
Back
Top Bottom