Nauza flash za Toshiba 8 GB Kwa 10,000/=

Nauza flash za Toshiba 8 GB Kwa 10,000/=

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Nauza flash Za 8 GB Kwa 10,000. Napatikana Dar Es salaam na contacts Zangu Za whatsapp ni 0778080031 zipo nyingi Karibu sana.
 
kaka ni OG ama ndo zile unatumia after a week inaanza kuzingua mara imemeguka
 
Hizi flash ni imara ukichukua nakupa wiki 2 ikikupa shida yoyote unanirudishia
 
Mmmmh ni kwamba mimi sielewi maana ya hilo neno na matumizi yake au wewe ndo hujui? Najaribu kuwaza tu kwa sauti

ok, warrant ina maana mbili. Kwenye Law, warrant ni kama authorization, but kwenye Finance, warrant ni kama kinga kwa mteja juu ya anachokinunua mfano nikikuta bidhaa ni mbovu naweza kuirudisha dukani au kutengenezewa bure under specific conditions
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom