Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kinauzwa uzunguni mbeya tshs 250m ni eneo zuri la kujenga nyumba za kupangisha au makazi kwani makampuni mengi yànapenda kupanga nyumba maeneo ya uzungun. wasiliana nami 0754060350
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa sokomatola mbeya tshs 35m.sokomatola ni mji unaoanza kufufuka baada ya watu wengi kununua nyumba na kuzifanyia ukarabati. ni mji uliopangika vizuri kimitaa jirani na chuo cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gari inauzwa haina tatzo lolote, ni ya mwaka 2004....bei ni milion 10 na maelewano yapo kidogo. Napatikana kwa 0713806766. ATTACH=full]314051[/ATTACH]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jipatie Laptop Used secondhand from Europe. Zinapatikana kwa Bei tofauti kulingana na Capacity ya each Laptop. Bei zinaanzia 480,000/- Karibuni. Happy New Year.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nataka gari yenye sifa hizi Haiconsume sana mafuta, Isiwe chini maana nakaa milimani Lushoto, na km kuna namna kwa hiyo hela naweza kuagiza nje. Ahsanteni
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye smartphone nzuri na original. Nahitaji.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hello guys, Natafuta mitungi ya gasi mitupu ya kampuni ya Mihan, Oryxy, cam au lake oil. Bei tutaelewana, kama unayo Please call me my number is 0718371221 au 0627739477. Thank you so much.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallo, Nauza Jogoo wa kienyeji. Bei ni Tsh: 38,500/- unaletewa hadi ulipo kwa maeneo ya city center. Karibuni Wote. Happy New Year.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Kama una access ya hii thread nicheck 0787419289 nipo dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gari inauzwa, ni ya mwaka 2004....bei ni milion 9.5, haina tatzo lolote....nichek kwa 0713806766.
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Samsung Power Bank (Capacity = 20,000 mAh) @20,000 Tshs only Bluetooth Speaker (FM & SD Card too) @20,000 Tshs only Portable Fan (with 2 Torches & Solar-powered) @20,000 Tshs only Call 0765900224
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja eneo la changanyiken au Makongo juu. Bajeti yangu milioni 15. Pia inategemea na eneo lilivyo.
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Toyota Hilux Surf for sale. Milion 8. Good condition. Iko Iringa. Maongezi yanaruhusiwa. Call or watsapp 0622261026
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, naomba kufahamishwa wapi anapatikana Fundi mtaalamu Wa discovery kwa hapa Dar es Salaam Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari, ninauza kiwanja kipo korogwe mtaa wa kwam'mbo karibu sana na magunga hospitali .kina msingi wa mawe wa vyumba vinne na michungwa kadhaa ,kina ukubwa wa robo heka bei ni nafuu sana. aliye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Contact 0789091791
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Nahitaji mayai kiasi cha tray 45 kwa wiki za kuku chotara aina ya black austtalorps, white australorps, susex, rhode island red etc... Napatikana Tegeta Bahari beach Kwa mwenye nayo tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tigo pesa 270k Mpesa 160k Airtel 110k 0712191251
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…