dalalizama
Member
- Sep 8, 2015
- 20
- 0
Nyumba inauzwa sokomatola mbeya tshs 35m.sokomatola ni mji unaoanza kufufuka baada ya watu wengi kununua nyumba na kuzifanyia ukarabati. ni mji uliopangika vizuri kimitaa jirani na chuo cha utimishi. Wasiliana nami 0754060350;