Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Acer CPU 1GHz,memory 2GB,storage 500GB, contact 0756054854
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Habari za leo wadau. Nahitaji kujenga nyuma ya ghorofa moja ambayo nyumba ya chini na ya juu zinajitegemea i mean atakayekuwa anaishi nyumba ya chini na wa nyumba ya juu wakutane kwenye parking...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wote! Ninahitaji Laptop aina yeyote yenye ubora wa uhakika isiwe zaidi ya inchi 14.(used) Bei ni maelewano,nipo Arusha mjini. Mawasiliano: 0713260027
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Habari, Juzi nimezunguka hapa mjini kutafuta standalone DVR (Digital Video Recorder) lkn nikaishia kukuta za njia nane tena ambazo zinakuja na camera kabisa. Kiufupi kama mtu anafahamu mahali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu, naomba kama kuna mtu anajua bei za viwanja orkesmet mjini kwa sasa anijuze. kiwanja kipo mtaa wa bomani karibu na kituo cha polisi. ukubwa ni 1200 square meter (kama miguu 40 kwa...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
wakuu mwenye kuuza hizo gari tuwasiliane offer yangu 5m ila iwe kwenye hali nzuri na iwe imelipiwa sitika zote nipo dar 0687404226
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Don't miss out! Vacant building site!! Very few vacant stands left in this area of Regent Estate. Close to His honorable private home, as well as all conveniences. There are very few suitable...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Inaitajika Toyota allion number c au d mwenye nayo ani PM Thanks
0 Reactions
0 Replies
658 Views
JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA KUWA NA MAFUTA MENGI KWENYE MOYO NA KUTOKUWA NA NGUVU KWENYE MACHO YAKO AMA KUWA NA KITAMBI KIKUBWA KISICHOPONEKA? ANTILIIPEMIC TEA NI MAJANI YA CHAI AMBAYO YANA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA KUWA NA MAFUTA MENGI KWENYE MOYO NA KUTOKUWA NA NGUVU KWENYE MACHO YAKO AMA KUWA NA KITAMBI KIKUBWA KISICHOPONEKA? ANTILIIPEMIC TEA NI MAJANI YA CHAI AMBAYO YANA...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari zenu wajasiria mali, kama unahitaji website kujitambulisha na kutangaza biashara yako kwa bei nzuri, tafadhali wasiliana nami kwa namba hii 0758717754 au 0658555903 Sample ya kazi zangu...
1 Reactions
2 Replies
936 Views
Maelezo; Sehemu: Kigamboni - Mjimwema Umbali: 7km kutoka Ferry (1km kutoka Lami) Surveyed ila Hakijapimwa (Kina mkataba wa S/Mtaa) Ukubwa: 650 square metres Bei: 10.5m (UKITAKA KUKATIWA 18m...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa mwenye kufahamu: Natafuta mashine ya kufyatulia Paving Blocks. Ama kwa kutengenezewa au kununua iliyotengenezwa tayari. Iwe machine yenye ubora na iwe mara. Itafaa zaidi kama nikipata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mhhh watu wanauza sana viwanja recently !!!Mhh ni Lukuvi au Wazee wa bandari maji yamefika shingoni
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Raum New model, 2005, In very good condition, sporty tires and rims, metallic silver, 116,000 km, well maintained, lifted, New Dry battery Atlas..!! Hakuna dalali, see pictures, nimetumia for...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Rent TZS 800,000/Month Payment Terms: Yearly in advance Area: Dar Es Salaam Directions: Namanga 4m x7m long. Ally Hassan Mwinyi Road. Private luku and car parking at the front. To view...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta. Jiko la wastani, sebure na sehemu ya kulia chakula. Katika uzio zipo apartment mbili zote kwa sasa zipo wazi. Kodi yake tshs 1.2 kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta. Jiko la wastani, sebure na sehemu ya kulia chakula. Katika uzio zipo apartment mbili zote kwa sasa zipo wazi. Kodi yake tshs 1.2 kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Nimehamia Dar kikazi hivyo nimeonelea badala ya kuvibeba vitu vya ndani bora niviuze. Call 0767555147 LAKI TANO (Mazungumzo yapo) LAKI NANE LAKI TATU LAKI TANO LAKI MBILI ELFU HAMSINI...
0 Reactions
15 Replies
24K Views
Wadau wa humu jukwaan, nauza shamba langu lipo kisarawe kijiji cha kisanga. Lina ekari 8 rutuba ya kutosha halijalimwa muda mrefu. Bei ni 16 milioni maelewano yapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…