Pole mkuu ila ungefika pale catalunya kuna magari mengi sana unaweza kupata ya namna hiyo ongea na madalali kuna kijana anaitwa mapunda ni mtu poa anaweza kukupa msaada kufanikisha hilo.sijapati gari hadi saa hii
mkuu hebu funguka ilikuaje ili na wengine ambao tuna mpango wa kununua gari za mkononi tupate mwanga kidogowalitaka kunitapeli wakakuta mimi mwana jf GT ila wamepoteza tu muda wangu na kukodi bajaji toka mawasiliano hadi kinondoni makaburini ..
wakuu mwenye kuuza hizo gari tuwasiliane offer yangu 5m ila iwe kwenye hali nzuri na iwe imelipiwa sitika zote
nipo dar
0687404226
wakuu mwenye kuuza hizo gari tuwasiliane offer yangu 5m ila iwe kwenye hali nzuri na iwe imelipiwa sitika zote
nipo dar
0687404226
mkuu naomba hiyo web ambayo wanauza magari kwa bei hiyo.Kwa probox unaweza kuagiza mwenyewe kama budget yako ndio hiyo. Hizo gari ni 400$.
Hiyo $400 ni FOB au CIF maana unaweza kuta FOB ni $400 ila ukakuta gharama zote ni $1500.Kwa probox unaweza kuagiza mwenyewe kama budget yako ndio hiyo. Hizo gari ni 400$.
Usiichukulie poa probox na wala usimdanganye akaagiza kwa bajeti yake ya 5m atalikimbia bandarini!Kwa probox unaweza kuagiza mwenyewe kama budget yako ndio hiyo. Hizo gari ni 400$.
hivi mtu anawezaje kutaka gari ili ktk hali nzuri kwa bajeti ya 5m?!ushauri wangu,kwa bei hyo utapata raum old model na ukiipata ichunguze kwa makini sana!kwa probox bei hyo ndo hupati kabisaa na ukiipata nenda na fundi wa bodi na injini aikague vzr ukijiridhisha ibebe mwanawanawe!ila km unatakagari ngumu ya kazi probox inakuhusu!wakuu mwenye kuuza hizo gari tuwasiliane offer yangu 5m ila iwe kwenye hali nzuri na iwe imelipiwa sitika zote
nipo dar
0687404226
Usikariri wewe mm nishauza magari safi kbsKwa ushauri tu..Mtu yeyote aneihitaji Gari ni bora kuagiza tu...Kama budget haitoshi ni vizuri ukasubiri kuliko kuingizwa mkenge ukauziwa magari mabovu au ya wizi...
Usiichukulie poa probox na wala usimdanganye akaagiza kwa bajeti yake ya 5m atalikimbia bandarini!
Hiyo $400 ni FOB au CIF maana unaweza kuta FOB ni $400 ila ukakuta gharama zote ni $1500.
Ni bora kuwa makini sana!!
Pia kuwa makini na magari ya bei nafuu hususani yanayouzwa kwenye mitandao,unaweza nunua na ukakuta ni mkweche
Nipe milioni nne tu nakulete hii gari hadi mlangoni kwako hapa Dar ndani ya wiki tatu Used PROBOX VAN TOYOTA for Sale | BF486108 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD