Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Tabata Kisukuru bei ya kutupa

stepper

Senior Member
Aug 7, 2013
112
56
Kiwanja kina hati na kina ukubwa wa Sq metre 1,516. Bei ni 22.5 million . Pia mazungumzo yapo. Karibu sana 0718 385 553
 
Mkuu yani 22m ndo bei ya kutupa,yani ww hauna tofauti na yule mama aliesema 10m ni vihera vya mboga
 
nafkiri VX V8 ya 2016 yenye 50,000km ikiuzwa mil 50 ni bei ya kutupa. ila vitz iliyochakaa ya kwa 6mil ni anasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom