tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Habari wana JF,
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya mambo yahusuyo masuala ya biashara,humu tutapeana mbinu mbalimbali za kibiashara ili uweze kufanikiwa na kuifanya biashara yako kuwa imara na tutafundishana mambo mengine yoote yahusuyo business kwa ujumla.
Watanzania wengi tunapenda kufanya biashara au kuwa wajasiliamali lakini hatujuwi vitu mbalimbali vihusuyo hiyo sekta,sasa huu ndio uzi maalumu kwa ajili yetu ili tuweze kuelimika.
Nakaribisha kwa yeyote mwenye ujuzi au elimu kuhusu masuala ya biashara na ujasiliamali atuelimishe ili watanzania wengu tuelimike.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.