Natafuta touch ya Sony Xperia E3

Natafuta touch ya Sony Xperia E3

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Natafuta touch ya Sony xperia e3 iwe mpya sababu kariakoo nimekosa ..au kama unaeza nambia wapi nitapata
 
Hiyo hakuna, ila nina Sony Xperia z3+ mpya. Bei nafuu.
 
Ingia online uagize,kibongo bongo utauziwa mpaka 150,000 ila online haitofika $30
 
OK. Niliiona kwenye mtandao mmoja touch ilikua inauzwa $13
 
Tatizo sijawaifanya online trade
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom