Je nitapata wapi madishi?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
6,017
4,377
Nahitaji dishi, zamani yalijulikana kama ungo, la saizi ndogo (si yale makubwa utadhani nyumba ni studio ya kurushia matangazo). Ni vyema ukaweka bei na kampuni iliyotengeneza.
 
Kariakoo yamejaa tele
 
Nahitaji dishi, zamani yalijulikana kama ungo, la saizi ndogo (si yale makubwa utadhani nyumba ni studio ya kurushia matangazo). Ni vyema ukaweka bei na kampuni iliyotengeneza.
Dish na king'amuzi chake au dish pekee? Nina Zuku brand new 70000/=full set
 
nenda chuo chochote cha ufundi.VETA.utapata lakini kama uko na Elimu ya juu kuwaeleza nini unataka.

swissme
Nahitaji dishi, zamani yalijulikana kama ungo, la saizi ndogo (si yale makubwa utadhani nyumba ni studio ya kurushia matangazo). Ni vyema ukaweka bei na kampuni iliyotengeneza.
 
Dish na king'amuzi chake au dish pekee? Nina Zuku brand new 70000/=full set
Yah! Dish na king'amuzi, ila si haya jamii ya Zuku wala Azam Tv et. all. Nahitaji yale yaliyokuwa yanatuma kabla ya haya ya Zuku na wenzake, kama vile MediaCom, n.k.
N.B Nipo mbali sana na DSM
 
Ooh ok ok yale free to air? Kwanini usinunue flat screen yenye king'amuzi cha satellite moja kwa moja?
 
Back
Top Bottom