nilikuwa niko na hamu ya kuandika weka picha.nyumba ipo kisemvule nje kidogo ya dar ina master na sitting room na choo cha ndani na frem moja pia kuna uwanja wa kujenga nyumba kubwa eneo ni tulivu.bei ni milion 26 nichek 0718097972 kwa maelezo zaid na kwa picha whatsapp hapa zimegoma shukran,