Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

We prepare books of accounts, financial statements, VAT returns and business plans. Call 0674 579575 or 0757 568523
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ina cc 2490,bei 18m,maongezi yapo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
chagua chako kwa 15000 tu, size 37-41 Mkoani natuma ila gharama za usafirishaji ni zako mteja. watu wa Dar home delivery ni jumamos na jumapili tu. Na unachangia 2000 napatikana makongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
yanini ujenge bila mpangilio na kusumbuka kwa ukalabati wa mara kwa mara katika nyumba yako. kwa kulijua hilo tutakutatulia usumbufu wa dhahama zote hizo piga 0624084819 sasa kwa ramani za NYUMBA...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Kiwanja kikubwa kipo karibu na St. Joseph University. Mawasiliano zaidi 0784674578
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauza simu aina ya techno phantom z min IPO vzuri nmeitumia miez sita bei nzuri tuu kulingana na bei yake dukan Asante karibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Make : TOYOTA Model : Cami Mileage : 116000km Engine size : 1290cc Fuel : Gasoline/Petrol Drive : four wheels drive (4WD) Steering : Right Transmission : Automatic Ext. Color : Silver...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni nzima kabisa isipokuwa inatatizo la kioo, nauza 100,000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei ya jumla na rejareja Kwa maelezo zaid nichek 0682388102 na 0658936439
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kwa wale wakazi wa Dar es salaam Nyumba inakodishwa iko wilaya ya Temeke (Mbagala kizuiani), Vyumba vitatu, dinning room, sitting room na jiko. Ina eneo kubwa la parking Umeme na maji Iko mita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Playstation2 imechipiwa Unapewa flash 8gb Inagames 5 Na waya unapewa Tsh120k nchek 0653557633
1 Reactions
0 Replies
778 Views
Natafuta mtu aniprintie cheti changu cha chuo kimoja cha chuo cha ufundi cheti kimepotea na imeshindikana kupata kingine. Msaada jamani duu hali mbaya kinahitajika haraka sana malipo yapo mazuri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Nyumba ipo Sinza Near kwa Remi Dakika 5 tu toka barabarani, inajitegemea ndani ya geti Sifa zake 3bdrom & 1self contained, kitchen, sitting room, store, public toilet, tiles, gypsum, Allminium...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa harufu nzuri za asilia kutoka katika mimea mbali mbali ikiwemo viungo na maua. Karibu ujipatie perfume original kabisa perfume pendwa katika soko la vipodozi dunian kote. Wasiliana nami kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni aje wanajamvi.... 1. Kama unataka software package ya Adobe CS6 ama CC, Microsoft Office 2007 / 2010, Cinema 4D R14 na nyingine nyiiingi basi niPM namba yako. Nainstall na ninakuachia na copy...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jion wandugu nauza cm blackberry Z 10 ipo ktk hali nzuri bei 250000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop yangu ina sifa zifuatazo Ram 2gb Hdd 300 Wi-fi,webcam, Bluetooth. Charge 3hrs Core i2 2.26,2.27.GHz. Price 400k. Ipo morogoro.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Toyota Landcruser Prado ya mwaka 1999 plate namba BUC Gari ipo katika hali nzuri, bei maelewano. Engine 1kz Napatikana dsm. Contact; 0714 521128 0786 119448
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, nahitaji generator yenye uwezo kuanzia horsepower 5. Ila hata sijui bei zake na specifications zake. Wazoefu mnishauri aina gani na pia bei zake ili nijipange niingie jijini na mkwanja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…