House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, Ipo kijitonyama mabatini DSM

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei ni 650,000 maongezi yapo, pia wale wa chumba, master, chumba na sebule, vyumba viwili vipo, cha msingi mtu uwe serious, Maeneo ni sinza, mwenge, savei na Mbezi,,. if you are interested don't hesitate to contact me, my no is 0713415537, please only serious people, na wahitaji tu.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-02-16-13-35-55.png
    Screenshot_2016-02-16-13-35-55.png
    43 KB · Views: 93
Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei ni 650,000 maongezi yapo, pia wale wa chumba, master, chumba na sebule, vyumba viwili vipo, cha msingi mtu uwe serious, Maeneo ni sinza, mwenge, savei na Mbezi,,. if you are interested don't hesitate to contact me, my no is 0713415537, please only serious people, na wahitaji tu.
Hivi vyumba ni vitatu ikiwemo master au master inakuwa ni chumba cha NNE?
 
Tukananeniiiiiiiiiiiii eeeeeeeeee
Mkimalize mjue nyumba inakodishwa

Mleta tangazo acha jazba,Customer Care katika hatua ya awali sio lazima uende chuo,unapokuwa ni mfanya biashara lazima ujue kustahamili makete na changamoto za unachokifanya.
Sijaona logicya kumjibu mtu namna hiyo,maana ukisema Msengerena,haina sheeda kabisa kwamba ulimaanisha Mssenge.Hili nitusi kubwa saana tena saana

Unapoingia kwenye biashara hasa humu JF kuna maneno meengi ya ajabu,na mengine ni ya ajabu ila yanakuja in a from of Jokes.
Kuna mtu anaitwa Munawara,anaongoza kwa kutupiwa maneno makali,ila yeye misemo yake ni ile ile tuuu,na kuna kipindi watu wanafanya kusudi hasaaa kumchokoza,lakini analinda saana mdomo wake,na kuna muda mwingi anatukanwa hata yeye,ila anavumilia na kujibu kwa style yake.

Kuwa mvumilivu hii ndio JF
 
OK mkuu
 
siwezi kubishana na wewe Lofa wateja wangu wanajua ninacho kisema, acha viloba mchana mkuu kama haikuhusu pita pembeni, kapange vya elfu kumi kumi, elimika usiwe mjinga
Usiwe na jazba mtangaza biashara, katika soko kuna wateja wenye tabia mbalimbali kama unavyoona.
 
Ni kweli mkuu ZanzibarSpices,Mkuu Tunzo Jf ni pazuri kwa biashara ila kuwa mvumilivu kuna watu humu wao ni kukosoa tu liwe jambo zuri au baya,nakuomba kuwa mtulivu humu yaani ww unavyopanic ndyo raha yke kuwa limekupata na wapo wenye shida na hitajio hilo lzm wata ku PM kuwa mpole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom