Kiwanja kinauzwa Mbezi

Wengine huwa wanatoa matusi badala ya kufanya biashara . Hivyo kama uko serious we ni beep ntakupa details zote. Kiwanja hakina matatizo yoyote. Kina ukubwa 23mx64mx23x50m. Waeza kukatiwa vipimo utakavyo. Yeyote muhitaji sni beep mi ntapiga shida iko wapi?UOTE="Jaluo_Nyeupe, post: 15842230, member: 33740"]Ukiona mwenye mali anaogopa kutaja bei ya mali anayouza hadharani ujue kuna walakini.[/QUOTE]
 
Watu wengi wanakosea kuweka matangazo hapa jf na hii kuleta usumbufu na pia vurugu hatimae uzi unaonekana hauna maana tena.Jitahidini mnaoweka matangazo wekeni detail za kutosha ikiwa ni pamoja na
-Bei ya bidhaa husika
-Sehemu bidhaa inapopatikana
-Mawasiliano ya mhusika
Hayo ndo mambo makuu ya kuzingatia.
NOTE: Wakuu tubadilike tuwe waelewa sio kila siku watu wana rudia kitu hicho hicho mara weka bei,kiko wapi,mara ukubwa gani
 
mkuu kinachokwamisha watu ni lugha chafu na za dhihaka zinatotumika,Mtu anaandika maelezo ya kina lakini majibu yanayofuata yanaambatana na matusi,wengine ni waoga wa hilo na si kila binaadamu ana ujasiri wa kukabiliana na Negativities,Mtu mpaka anataja vipimo na mahala na bei manake wamekna kwa uhitaji wao vinafaaa na mazungumzo unaambiwa yapo ila mtu anatoka alipotoka anashusha maneno ya kukatisha tamaa,Ndo mana watu wanaona heri watangaze na wenye nia ya kusikia zaidi wanaPM,Labda liwe swala la wakuu wote kubadilika mtu huna uwezo wa hio bei basi si lazima kejeli au lugha chafu,Ni hayo Mkuu







Watu wengi wanakosea kuweka matangazo hapa jf na hii kuleta usumbufu na pia vurugu hatimae uzi unaonekana hauna maana tena.Jitahidini mnaoweka matangazo wekeni detail za kutosha ikiwa ni pamoja na
-Bei ya bidhaa husika
-Sehemu bidhaa inapopatikana
-Mawasiliano ya mhusika
Hayo ndo mambo makuu ya kuzingatia.
NOTE: Wakuu tubadilike tuwe waelewa sio kila siku watu wana rudia kitu hicho hicho mara weka bei,kiko wapi,mara ukubwa gani
kina
 
Wengine huwa wanatoa matusi badala ya kufanya biashara . Hivyo kama uko serious we ni beep ntakupa details zote. Kiwanja hakina matatizo yoyote. Kina ukubwa 23mx64mx23x50m. Waeza kukatiwa vipimo utakavyo. Yeyote muhitaji sni beep mi ntapiga shida iko wapi?UOTE="Jaluo_Nyeupe, post: 15842230, member: 33740"]Ukiona mwenye mali anaogopa kutaja bei ya mali anayouza hadharani ujue kuna walakini.
[/QUOTE]
Aliye serious hatajali hayo matusi atakutafuta na wewe kama muuzaji matusi ni changamoto tu. Ukiweka bei inapunguza usumbufu kwa wote mf siwezi nikawa na 10m nikakupigia simu wakati umesema unauza 100m.
 
Kwa mhitaji haswa Wakuu nawaombeni mnipe namba zenu nitawapigia kuliko kuleta bla bla hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom