S SIPIYU30 JF-Expert Member Feb 26, 2012 1,745 2,432 Apr 11, 2016 #1 Wadau, nahitaji generator yenye uwezo kuanzia horsepower 5. Ila hata sijui bei zake na specifications zake. Wazoefu mnishauri aina gani na pia bei zake ili nijipange niingie jijini na mkwanja kiasi gani.
Wadau, nahitaji generator yenye uwezo kuanzia horsepower 5. Ila hata sijui bei zake na specifications zake. Wazoefu mnishauri aina gani na pia bei zake ili nijipange niingie jijini na mkwanja kiasi gani.