Natafuta mtu wa printing wa cheti

Mama kdev

Member
Mar 30, 2016
49
32
Natafuta mtu aniprintie cheti changu cha chuo kimoja cha chuo cha ufundi cheti kimepotea na imeshindikana kupata kingine. Msaada jamani duu hali mbaya kinahitajika haraka sana malipo yapo mazuri tu. Ni pm
 
wanakujaa mm napita
 
...tafuta stationery zinazoeleweka,uongee nao,wao watakuwa wanajuana wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom