Mada inajieleza,natafuta gari kati ya hayo matatu bajeti milioni 6 fixed iwe Namba C/D kilometre chache haijapata ajali wala kupakwa rangi.
Kama una gari tofauti na hiyo eleza ubora wake cc na...
FURSA! FURSA!
Plot inauzwa SINZA MORI INATIZAMA SHEKILANGO ROAD,UKUBWA METER SQUARE 900.
INA NYUMBA YA KUISHI, FREMU ZA BIASHARA NA BAA UPANDE WA BARABARA. Imepimwa na ina hati.
Jaman fursa...
Habari ndugu zangu,
Natoa factory unlock services kwa mobile phones, kupata bei na muda simu yako kuwa unlocked itachukua nimeweka hapo. Kwa walio Dar utanilipa baada ya kuwa nime-unlock simu yako...
Sabakher Wadau;
Nina Ofis Yangu Hapa Morogoro Karibu Na Hospitali Ya Mkoa! Kutokana Na Usimamiz Mbovu Na Nahama Kikaz Nataka Kuhusu Huo Mzigo Wote!! Inshort Nakuuzia Biashara Nzima Maana Nimelipa...
AINA: DELL INSPIRION CO i3
RAM: 4GB
HDD: 500GB
PROCESSOR: 1.8Ghz
MUDA TANGU INUNULIWE: 9months
MUDA WA KUKAA NA CHAJI: masaa 4:30 mpaka 5
Ikona hali nzuri na haisumbui
Bei haina longolongo: Laki...
Kama kichwa cha habari kinavyosea nahitaji producer wa kunifundisha jinsi ya kurecord vocal na kufanya mixing(mastering) awe ni wa mwanza maana ndo naweza kua nakwenda kwa urahisi
Habari wadau, ninazo stainless steel kwa ajili ya matumizi kwenye hospital, catering na kazi za utafiti. Kila moja bei yake ni shs 15,000. Mwenye uhitaji anaweza kuwasiliana na mie whatsapp yangu...
Ninasafirisha na kuuza (bei ya jumla) samaki aina ya sangara kutoka mwanza kwenda mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam
Bei ni Sh 5,500 kwa kilo
Kiwango cha chini...