puravida Member Jan 8, 2012 74 2 Apr 22, 2016 #1 16GB Iko katika hali nzuri na hsina tatizo lolote Maongezi yapo Mawasiliano 0712338291
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,896 36,213 Apr 22, 2016 #2 Hii ni iPhone 5 au ni iSamsung.....??
Tareeq JF-Expert Member May 3, 2010 831 408 Apr 22, 2016 #3 Si inasomeka katika picha naona atoe Bei kwa hiyo Galaxy Note 4
A Allency JF-Expert Member Jan 27, 2011 14,646 14,275 Apr 23, 2016 #4 Hivi huyu muuzaji yuko sawa sawa kweli? Yani hajui iphone ni zipi na yeye anachouza hajui ni nin!! Umenipotezea mda wangu kufungua huu uzi.
Hivi huyu muuzaji yuko sawa sawa kweli? Yani hajui iphone ni zipi na yeye anachouza hajui ni nin!! Umenipotezea mda wangu kufungua huu uzi.
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 16,381 18,309 Apr 23, 2016 #5 Maongezi yanakuwepo baada ya kuweka bei halisi