Natafuta nyumba ya kupanga Kyela

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanajamvi salamu kwenu

Mimi ni mgeni maeneo Haya ya Kyela naomba msaada wa kupata nyumba nzuri ya kupanga ndani ya wilaya hii ya Kyela katika kata ya Matema Beach au maeneo Karibu na hayo msaada naomba namba ya dalali ktk jukwaa nikutafute pliz.....
 
Back
Top Bottom