Chaja ya HP for sale.

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
Habarini za asubuh wadau, nimeibiwa laptop yangu ya HP juzi maeneo ya kigamboni na kuniachia chaja tu. kwa hyo nmeamua kuiuza maana sina kazi nayo. Bado mpya kabisa ina kama mwenzi mmoja tu. Anayejitaj anichek 0713806766.
 
Back
Top Bottom