Natafuta nyumba ya kupanga, kwa Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Tegeta ya chini

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Husika na kichwa cha habari hapo juu.... Bei ni laki 5, iwe kwenye fence na iwe quality..

Na mahitaji ya haraka sana
 
mi maeneo hayo sina ipo mapinga barabarani ni laki saba ni nyumba kubwa na ndogo yenye kighorofa parcking kubwa fensi kama huhitaji kigorofa bei ni laki sita
 
Back
Top Bottom