Mimi ninayo ya mwaka 2007 nimeingiza nchini novemba na sijaitumia mbali na kuitoa bandarini na kuiweka gereji. kama mnunuzi kweli nitafute lkn hiyo fedha ni ndogo kwani ushuru tu nimelipia karibu na hiyo fedha uliyotaja na ipo kwenye hali nzuri nimeagiza japani.Bajeti yangu ni milioni 10.
Nicheki inbox kama inapatikana.
Ubarikiwe.
Azichange,hii gari ni dhamana mkuu.Niliwahi kuwa nayo.Mkuu ipo gari Toyota Noah SR-40 ya mwaka 1998, pearl color, 99000 km. Haijatumika hapa nchini. Naiuza 13,300,000 na imeshalipiwa ushuru.
Imeingia nchini mwezi february mwaka huu.
Iko Dar es salaam, kama utahitaji kuiona tunaweza kupanga location nikakuletea uikague.
Nipigie 0767 382 415.
Hahahaha anatembelea NOAH aka mobile guest house aka PIG kumbe mbwe mbwe nyingi alafu hkn kituMuulize Le Mutuz ile yake alinunua wapi?