Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ttechno c8 Nahtaj fasta nitxt 00653857431 nip na bei
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Natafuta Game ya call of Duty modern warfare zote 1-ya mwisho pm
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Habari waungwana wa Jf,tunauza dagaa kwa ajili ya chakula cha mifugo kama vile kuku,ikiwa wewe ni mtu binafsi,kampuni au shirika unahitaji mtu wa kusupply hao dagaa kwa ajili ya mifugo please...
1 Reactions
0 Replies
934 Views
Kuna toshiba laptop muundo wa mayai ram 4gb 160hdd chaji inakaa masaa 4 bado mpya bei yakutupa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I want to know, the tigo freelancer what is.??? What they are doing.!?? Please help me....!!!!!
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Habari wanajamii, Nauza miti heka 5 pamoja na shamba aridhi iko njombe bei 15,000,000 miti ina mwika 6 ni mikubwa na mizuri kwa mawasiliano 0755238761.pia nina mashamba mengine mengi tu ya miti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jami, Natafuta wanunuzi wa miti iko shambani njombe. kwa mawasiliano 0755 238761
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa nauliza hivi hizi solar powerbank zinafanya kazi vizuri ukichaji na jua,nisaidien nisipigwe
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/= b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/= c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tv tajwa hapo inauzwa kwa bei ya kutupwa, dukani ni laki nane, ila anauza bei baada ya mkataba ake wa kazi kuisha na anarudi kwao india, Kama unahitaji nipigie 0716863406 tv ipo dodoma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Ninashida ya mtu anikopeshe milioni 15, naweka nyumba bondi ipo Chamanzi dar es salaam
0 Reactions
2 Replies
934 Views
JUISI SAFI YA MIWA ISIYOCHANGANYWA NA MAJI!!! Tunapokea oda ya juisi ya miwa isiyochanganywa na kitu chochote..Tunauza kuanzia lita tano kwa shilingi za kitanzania elfu 15 na kukuletea popote...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wana bodi. Naomba kufunzwa na kuelimishwa kwa wale welidi na wajuzi wa kutengeneza vitu kama hivi kwenye nyumba. Concrete Countertop, ambayo itakuwa na mfano halisi kama marble...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau mm natafuta water pump nzuri isiwe ya bei ya kulangua sina kitu ndio naanza wakuu kama kunamtu anaeuza ani Pm au weka namba hapa nikutafute
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Kiko Mwanza ilemela maeneo ya airport. Ukubwa 25m*30m. Bei 1.65ml
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Habari wana jf,Tunachimba visima (water well drilling) kwa bei rahisi sana.Tunatoa huduma zetu kwa walioko Dar es salaam na hata walioko nje ya Dar es salaam...kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wana jf Naitaji kujua bei ya piki piki aina ya toyo na sifa zake pia mana naisi yaweza kuwa pikipiki nzuri kwa kazi ya bodaboda Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wanajf Karibuni pilipili nzuri yenye radha tamu inayoongeza hamasa ya kula chakula pia yatumika katika chakula cha aina yoyote...nimeiandaa katika mazingira safi na kua packed katika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Misplaced beliefs and rituals involving body parts from people with albinism have led to the barbaric slaughter of those unfortunate people – children and adults alike from those seeking easy...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…