Mifugo Bei Poa

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau...ninauza mifugo yangu ipo Morogoro mjini Bei Poa saba kwani nafunga ranch kwa matengenezo makubwa...Mifugo ni
1.Bata Mzinga Sh elf 75 wakubwa
2.Bata maji (peking) elf 45
3.Whistling Ducks elf 50
4.Bata bukini wakubwa elf 90 name size ya kati elf 70
5.Kanga weupe wakubwa elf 40 na wa size ya kati elf 25
6.Kanga wa kawaida elf 18
7.Vulturine guinies (Kololo) elf 95
8.Bata wa kienyeji wakubwa elf 18
19.kuchi pure wakubwa elf 70 wadogo elf 30
20.Bantams Silkies wakubwa elf 65
21.Nguruwe wa miezi 4 elf 50,Nguruwe wa miezi 5 elf 70,wakubwa wenye mimba laki 280,wakubwa zaidi laki 310 na Madume wakubwa (100kgs) laki 480
Karibuni..kwa mawasiliano 0689900000
 
Contacts hazipo
 
hanitaji ka nguruwe ka miezi minne asee nichinje weekend hii nikachome na kupika roast kisha nimkaribishe mzee @mwanakijiji na @drslaa waje wale waache ukasuku wa kunyimwa nafasi za kugombea urais
 
Bantams silkies wakije?..kama una picha za hyo mifugo ingekuwa vyema nasi tukaiona..
 
Back
Top Bottom