MAFUNDI VISIMA WANAPATIKANA

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari,
Kwa wale wote wanaohitaji visima vya kuchimba kwa mkono(hand_dug wells) kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji au matumizi ya nyumbani kwa bei nafuu sana tunapatikana Dar es Salaam na Pwani.
Bei zetu ni kati ya 400,000-1mil. inategemea na urefu.
Kwa maelezo wasiliana nasi kwa:0655185973 au nipm.
 
Je hiyo bei ni pamoja na gharama za ujenzi au ni malipo ya ufundi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom