Mafundi visima tunapatikana

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari,
Kwa yeyote unayehitaji kisima cha kuchimbwa kwa mkono(hand_dug wells) kwa shughuli za kilimo au matumizi ya nyumbani n.k usisite kututafuta,tupo Dar es Salaam na Pwani.
Huduma zetu ni bora kwa gharama nafuu ya 400,000-1mil. kutegemea na urefu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:0655185973 au nipm.
Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom