Nauza gari RVR bei nafuu sana

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
nauza gari aina ya RVR kwa bei nafuu sana mil 3 tu.. 0713871199
e06fea695ca107abd50055a4a85cc54c.jpg
42a32136717314cc109805564536249c.jpg
0c6350eb1ab99c6da7de91ca9e1cd39d.jpg
53720bfc2ec271acb3bebc53b2993705.jpg
 
Asante Mpwa, picha zimetosha Ila waweza Toa na taarifa za ziada kidogo? Sio wote watapenda kukupigia. All the best
 
gari halina matatizo yoyote linatembea ni zima kabisaaaaa
 
TRA inadaiwa kama milioni moja hivi. kwa matatizo halina liko poa tu engine iko safi na kila kitu kasoro yake ni haijalipiwa muda na sasa ni mil1
 
Asante Mpwa, picha zimetosha Ila waweza Toa na taarifa za ziada kidogo? Sio wote watapenda kukupigia. All the best
haina tatizo lolote iko poa kama kawa inatembea barabarabi sema inadaiwa mil 1 na TRA
 
TRA inadaiwa kama milioni moja hivi. kwa matatizo halina liko poa tu engine iko safi na kila kitu kasoro yake ni haijalipiwa muda na sasa ni mil1
mkuu hapo kwenye bluu inamahana huna uhakika au ndo kuficha taarifa sahihi ili usioneshe ukubwa halisi wa deni?, alafu naona nguo ya rangi ya kijani, wewe ni kada usiyelipa kodi??????
 
hahahahaha hapana angalia kwenye maxmalipo ingia namba za. gari itakwambia ni kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom