Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, naomba mwenye kujua haswa wapi anaweza kuni connect na mtu ambae anauza pete ya "immo ring". Its serious!! . Kama uko na ufaham ama kujua wap exactly ntaipata naomba uje PM tuongee...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi, nauuza gari langu SUZUKI ESCUDO 1.6. Make: Suzuki Escudo CC: 1,600 Transfer: Manual Year of Manufacture: 1993 Color: Metalic Greeen Milage: 198000 Imported in 2008 Stutus: Good, well...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chumba na sebule bei ml 5 uwanja 25/20 piga 0769057700/0659226322
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, natafuta wa kumwachia chumba kwa kodi ya miezi mitatu iliyosalia. Chumba ni mpya na ina gypsum na ni mita mia ivi kutoka barabara kuu ya mwendo kasi. Na mwenye nyumba wala...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Virtual reality box (vr box 2.0) Kwaajili ya kuangalizia movies kutoka kwenye simu pia kuchezea magemu.....
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wandugu. Kama kuna mtu ana contact z dereva mwenye Truck kubwa la mchanga mjini linajulikana kama MENDE naomba anipatie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Epuka gharama zisizo za lazima,nunua bati kwetu Epuka gharama zisizo za lazima,nunua bati kwetu
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Ni Lenovo core i5 v580 , 780 HDD, 6GB RAM ,2GB OF NVIDIA GFORCE GRAPHICS,webcam, bado ipo kwenye hali nzuri kabisa waweza Ni pm ama nicheki kwa 0657337030 kwa biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, kuna uhitaji wa mtu mtaalam wa Ku design simple database kwa mawasiliano apige namba hii au sms, 0625520125
0 Reactions
3 Replies
832 Views
Natafuta Fusso longbase 6d17 fighter mpya au used nipe bei yako hapa 0785032835
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ombi langu mtaalamu wa madini dhahabu tu badilishane mawazo ya uelewa wa madini dhahabu
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Battery ni jipya kabisa..bei ni 900k
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mwenye uelewa wa kujaza return za TRA tafadhari
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi ya Kimara 2km toka mbezi mwisho. ukubwa ni 1600sqr meter au mita 40 kwa 40 karibu wasiliana na 0655103636 au 0713927527
0 Reactions
2 Replies
850 Views
simu tajwa hapo juu inahitajika yeyote alonayo anicheki kupitia 0625774881
0 Reactions
0 Replies
659 Views

Kwa wale wateja wa mabati karagwe-kagera tumewafikia tupo kayanga

na omurushaka

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

Mabati ya mikunjo(Versatile)
<br...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana karagwe-kagera hii kwa ajili yenu ubora umewafikia Wana karagwe-kagera hii kwa ajili yenu ubora umewafikia
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Suzuki Escudo, One Owner Used, Original paint and Accessories, Best Condition Going For 7 Million Tzs In Arusha Call 0784 673 315
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye gari ndogo aina ya ' kilikuu ' tuwasiliane. iwe inavuta mbele na nyuma no yangu no 0685297010
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…