Habari wana jamvi, natafuta wa kumwachia chumba kwa kodi ya miezi mitatu iliyosalia.
Chumba ni mpya na ina gypsum na ni mita mia ivi kutoka barabara kuu ya mwendo kasi.
Na mwenye nyumba wala haishi hapo na hama kwa kuwa chumba hakina choo ndani.
Nimepata chenye choo ndani kwa mwenye kuitaji ani pm.asante