Natafuta fusso

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
681
87
Natafuta Fusso longbase 6d17 fighter mpya au used nipe bei yako hapa 0785032835
 
Mpya unamaanisha zero mileage au mpya = used overseas?

Watakuja wadau.
 
Ziko kuanzia thelathin mpaka 50 used niwewetu.kama uko serious nicheki pm nikupe no zangu ila mpiya ni uongo hakuna mtu anayeleta mpia alafu akujengee na body auze.ukitaka iliyokamilika kila kitu nilazma iwe imetumika hapa
 
Nimeku-pm mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom