gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
Ombi langu mtaalamu wa madini dhahabu tu badilishane mawazo ya uelewa wa madini dhahabu
Utatapeliwa bure kama unayo nenda kapime masonara wengi wana vipimo hasa jewellers za kariakoo posta KAMA UTAONA NGUMU NENDA SEISMIC KUNDUCHI
Kesho ntakupa majibu!Naomba radhi kwa kutelekeza post yangu swala nikwamba dhahabu ya mchanga huwana na tabia ipi unapo itoa Chini ya ardhi
Mkuu wewe unafanya biashara ya dhahabu?Nipo hapa mkuu 0655657160 tuwasiliane
SEAMIC