Range Rover needed. ..from 2008 model and above

Conroy

Senior Member
May 23, 2014
158
225
Range Rover Sport 2008model inahitajika... (Sample hiyo kwenye picha) Kama unayo tuma details na picha kwa WhatsApp 0689315582

Zingatia: model isiwe chini ya mwaka 2008 maswali zaidi sitaki
 
Attachments

  • IMG-20160716-WA0006.jpg
    File size
    78.5 KB
    Views
    74

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,368
2,000
Aise, u can't be serious mkuu.
So iwe vogue, sport, evoque, zote sawa au siyo, ok ngoja waje.
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,945
2,000
Toa offer yako hasa ya mwaka gani unataka hata toleo la mwezi huu utapata tuu ni hela mezani...gari halitafutwi zinatafutwa hela...toa offer tuwasiliane uletewe gari nipo Pretoria...
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,945
2,000
mustapha huku gari zipo utakapohitaji nitafute unalipia bei ile ile mimi ntakuchaji commision tuu na ikiwezekana kuendesha mpaka Tunduma kama sio mzoefu ila ucheki kabisa na kodi tusije kuliacha Tunduma maana huku magari hayana bei shida hapo...,
 
Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,655

Mkuu ford ranger double cabin ya 2009 cc 2200 diesel manual naweza pata kwa pesa ngap ya kitanzania??
 
Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,963
2,000
mustapha huku gari zipo utakapohitaji nitafute unalipia bei ile ile mimi ntakuchaji commision tuu na ikiwezekana kuendesha mpaka Tunduma kama sio mzoefu ila ucheki kabisa na kodi tusije kuliacha Tunduma maana huku magari hayana bei shida hapo...,
Naweza Kulifuata Tunduma?
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,945
2,000
Mkuu saju b ni rand 80,000 mpaka rand 120,000 rate ipo 150 ni kama Tsh 12,000,000 mpaka Tsh 18,000,000 ila unaweza pata pungufu zaidi ya hapo inategemeana na muuzaji mwenyewe...
 
Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,655
2,000
Mkuu saju b ni rand 80,000 mpaka rand 120,000 rate ipo 150 ni kama Tsh 12,000,000 mpaka Tsh 18,000,000 ila unaweza pata pungufu zaidi ya hapo inategemeana na muuzaji mwenyewe...

Dah kumbe ni cheap aisee ngoja nijipange ntakutafuta mkuu ngoja nikusanye kodi kwanza
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,945
2,000
dagii magari yapo bei chee kuriko unavyodhania kodi ya hilo ni 13million mpaka 16million...Ranger wamepanda bei kwa sababu ya hizi model zao za karibuni na ukumbuke kuwa huku magari yanauzwa bei kubwa kutokana na mwaka sasa hilo la 2008 au 2009 la zamani,, mercedes benz kompressor ya 2013 nimeipata kwa 17m, Nissan pathifinder diesel auto 16m ya 2012, Discovery 3 hizo zina range 15m mpaka 20million, X5 na X6 BMW uanaikuta rand. kuanzia rand 250,000 kuendelea, rand rover Puma 2014 rand 200,000, randcruiser mkonge 2014 rand 200,000 kuendelea iwe pick up gari zinazokua bei ni zile hata hapa ni fashion sana kama Vw golf 7 polo, mercedes 200 Bmg series...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom