Natafuta kiwanja cha bei ndogo

Natafuta kiwanja cha bei ndogo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,618
Habari zenu wanabod, Kama maada imavojieleza natafuta kiwanja cha kuenea vyumba viwili na sebule, kama mnavojua laifu sahiz limekaba sihitaji kitakachozidi ml 2, maeneo kiwe Kigamboni, Buza, machimbo, kongowe, majimatitu, chamazi, na mbande au sehem yoyote mbagala. Kama unacho pia maeneo tofauti na apo nambie naweza shawishika ila preference ni maeneo hayo... Kwa alietayari au anaefaham tuzujaze kupitia 0622005877.
 
Mm ninacho na nimejenga chumba na sebure tuongee...kama upo whatsup nitambie tutafutane
 
Jaman kigamboni si rais bush anauziwa?/kauziwa
 
Back
Top Bottom