Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta simu aina ya Samsung Trend Lite either mpya au iliyo kwenye hali nzuri. Kwa aliye nayo anaweza kuandika hapa au akaniPM. NB: Nahitaji simu hiyo specifically, maana najua mtataka kuniuzia...
0 Reactions
5 Replies
831 Views
Samsung j100h iko sikoni ambae anaitaji anicheck inbox
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Kipo Goba mjini,mita 300 kutoka stand Ukubwa 40 kwa 50 njia nzr na inafikika kwa urahisi, bei yake 35ml bei hii ina maongezi Kwa maelezo mengine na ukitaka kukiona tuwasiliane kwa 0756060183
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nataka jua km naweza pata laptop ya mac used na bei yake kwa ajili ya kutumia ktk visual dj na pioneer cdjs ktk club.thanx
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu wakuu naomba tuepuke kupoteza mda mwingi kwa kutumia social network bila ya kufaidika na chochote ,kama huna ajira Uzi huu unakuhusu iwe ni mzee iwe ni kijana naomba unitafute kupitia...
1 Reactions
2 Replies
851 Views
Macbook Pro core i5 13inc' mid 2012 Intel processor ~clock speed 2.4ghz turbo boost up to ~2.9ghz Ram 4gb. DDR 3 (1330Mhz) Hdd 500Gb. ♢S- ATA Intel Hd 3000 video adapter 13inches LCD...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Inauzwa Hotel ambayo haijamalizika pamoja na viwanja vyake viwili ambavyo ni vikubwa sana katika ya mji wa Dodoma . Hotel inaparking ya kutosha na unaweza kujenga hata swiming pool ndani ya eneo...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Helo wanajf,kulingana na title natafuta mwanamke au bint aliye tayari tushirikiane kuendesha saloon ya kike,kiukweli imenishinda kuendesha kwasababu mm ni mwanaume. AU Aliye tayari nmukodishe...
0 Reactions
6 Replies
987 Views
2.5″ Toshiba Solid State Drive, 19 nm 2-bit-per-cell NAND flash, 7mm slim QSBC ECC: Toshiba original Quadruple Swing-By Code error correction circuit Adaptive Size SLC Write Cache Technology, Fast...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Habari!!,tunapenda kuwajulisha kuwa tunauza laptop used/mtumba za aina mbalimbali,mfano,hp,dell,accer n.k kwa bei safi kabisa ya kuanzia tsh 250000 tu,na pia tunazo min laptop. Tupo Kariakooo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Lipo ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe, Miti iliyopandwa ni aina ya pine, Ina umri wa miaka miwili Zipo ekari hamsini, Bei ni million 20 zinauzwa pamoja na ardhi Kwa mahitaji wasiliana nami...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
WADAU KUNA NYUMBA NZIMA INAKODISHWA VYUMBA VITATU SELF CONTAINER,JIKO IPO MAENEO YA BUZA,MANDHARI YAKO POA KABISA.UKIWA NA SHIDA WASILIANA NA HUYU MTU 0715 45 92 41
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Habari wanaJF: mnakaribishwa wote kwenye training kama inavyojieleza picha hapo chini
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Iwe appartment ghorofani (kwenye ghorofa refu) maeneo ya chang'ombe au maeneo ya karibu sana na chang'ombe, iwe ya kisasa yenye vyumba vya kulala vitatu , yenye AC na fence.. Nicheki na ntumie...
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Naomba msaada nahitaji kusoma MAGAZETI online wapendwa kupitia simu yangu msaada wa maelekezo unahitaji ka.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WADAU KUNA GARI YA HARUSI INAKODISHWA KWA MAHARUSI WETU,BEI MAELEWANO TU AIFANYIWI NJAA.IPO POA KABISA NA NI MPYA KABISA AINA YA GARI NI SIENTA INABEBA WATU SABA MAWASILIANO MPIGIE 0715 45 92 41
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafiti zilizofanywa marekani na wanasayansi katika chuo kikuu cha Mississippi Wamethibitisha kua chupi za kubana za wanaume si nzuri kiafya ya uume wako na usalama wa mbegu za uzazi na ina...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Viwanja vinauzwa viko Mbezi Makabe Njia Panda . Ukubwa Ni "20-20" bei Sh mil.10. Vimepimwa kisasa. Umeme upo karibu mno. Wasiliana Na mwenye no: 0714486466.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom