Nunua biashara hii sasa ujikomboe

Nunua biashara hii sasa ujikomboe

mkandumbwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
424
Reaction score
371
Habari.
Nilikua nikiendesha biashara ya Stationary kwa muda sasa nabimekua ikiingiza faida nzuri tu.
Nimeona nikajiendeleze kimasomo nje ya nchi hivyo nimeamua kuuza vitu vilivyomo ktk stationary vyote.

1. Mashine ya photocopy Ricoh Aficio mp2000 ninaiuza 1million

2. Hp desktop ram 2gb hdd 500 core i3. Ziko 2 zote ziko full. Bei kila moja 300000

3. Mashine ya maxmalipo. Full documents. Ninauza 500000

4. Line za uwakala Tigo pesa, M pesa na Airtel money. Full documents. Ninauza laki 4500000 zote.

5. Samsung min laptop hdd 250 ram 2gb. Ninauza 300000

6. Paper cutter A3 pamoja na mashine ya binding kubwa ya chuma. Zote 200000

7. N Computing na N computing device ziko 4. Zote 200000.

Unaweza kuja kuviona vitu ama nikakutumia picha. Niko Dar.

Piga 0732 000 001
 
1469946539615.jpg
1469946551571.jpg
1469946571251.jpg
1469946592660.jpg
1469946606080.jpg
1469946619810.jpg
1469946633340.jpg
1469946651549.jpg
1469946664600.jpg
1469946682619.jpg
1469946699589.jpg
1469946716030.jpg
1469946736710.jpg
1469946753581.jpg
 
Mkuu naomba kujua yafuatayo:

1. Hiyo stationary iko spefically sehemu gani ya Dar?

2. Hizo bei ni fixed au zinaweza kupungua kwa mazungumzo?

3. Je kama mtu unahitaji baadhi ya vitu ulivyoorodhesha na sio vyote inawezekana kuuziwa?

Asante
 
Kuna 50000 hapa nahitaji line ya M-PESA
 
Mkuu naomba kujua yafuatayo:

1. Hiyo stationary iko spefically sehemu gani ya Dar?

2. Hizo bei ni fixed au zinaweza kupungua kwa mazungumzo?

3. Je kama mtu unahitaji baadhi ya vitu ulivyoorodhesha na sio vyote inawezekana kuuziwa?

Asante
1. Stationary nimekwisha ifunga vitu viko nyimbani
2. Bei maongezi yapo
3. Ndiobunaweza kununua baadhi ya vitu coz kuna baadhi tiyari watu wamenunua humu humu.
 
1. Stationary nimekwisha ifunga vitu viko nyimbani
2. Bei maongezi yapo
3. Ndiobunaweza kununua baadhi ya vitu coz kuna baadhi tiyari watu wamenunua humu humu.

Ok. Ila sasa mkuu update list ya vitu ulivyo navyo basi kama unasema baadhi ya vitu vishanunuliwa. Hii itamsaidia mtu mwingine kujua kitu gani kimebakia kwa sasa
 
Update list

1.Mashine ya maxmalipo
2.Mashine ya photocopy
3.laptop
4. Desktop pc
5. N computing device
6. Monitor

Bei maelewano yapo
 
Mkuu sio kwamba biashara imekua ngumu ndio unatafuta mtaji ufanye issues zingine??
Manake kama wewe ilikua inakulipa sana ungeweza kuweka mtu akusaidie kuendeleza. Pili hata kama ni kweli ilikua ikikulipa pengine ni kwa sababu ya location uliokuwepo, sasa umeshrudisha chumba then mtu akatafute kwengine huoni kama inaeza isimlipe??
 
Siuzi biashara..... Nauza vifaa...... Kama unahisi itakulipa unaweza kununua. Lakini nimejaribu kutoa uzoefu kidogo coz biashara nimeifanya. Ila endelea kujitahidi unaweza ukatoka ktk kipaji chako cha utabiri. Maana umetabir kama biaahara ilikua ngumu.
 
Unapingana na title yako mwenyewe ya NUNUA BIASHARA HII SASA UJIKOMBOE , pengine nawe ndicho kipaji chako.
Basi endelea na kipaji hicho cha kupingana na title, unawez ukatoka na wewe pia.
 
We unajitia janja ya nyani ila ni muongo tu, biashara imekushinda unataka kujidai unaenda ng'ambo kimasomo! Sijawahi ona mtu ambae anawaza kufunga biashara inayomuingiza faida nzuri na ya uhakika! Ina maana hukuwa na succession plan ama? Next time think critically kabla hujaweka post za kiduwanzi!
 
Unapingana na title yako mwenyewe ya NUNUA BIASHARA HII SASA UJIKOMBOE , pengine nawe ndicho kipaji chako.
Basi endelea na kipaji hicho cha kupingana na title, unawez ukatoka na wewe pia.
Tunapotafuta kichwa cha kutangaza habari ktk kurasa za bure kama hizi lazima tuwe wabunifu ili kuvuta wasomaji. Ingawa tiitle imeandikwa nunua biashara lakini ktk content hakukuwa biashara yyte inayouzwa ila vifaaa tu. Nimegundua kipaji kingine kwako "always seing things in negative"
 
We unajitia janja ya nyani ila ni muongo tu, biashara imekushinda unataka kujidai unaenda ng'ambo kimasomo! Sijawahi ona mtu ambae anawaza kufunga biashara inayomuingiza faida nzuri na ya uhakika! Ina maana hukuwa na succession plan ama? Next time think critically kabla hujaweka post za kiduwanzi!
Hahaha! Faida katika biashara unatokana na vitu vingi ikiwa ni pamoja na usimamizi na utayari wa mtu anayeiendesha...... Hata kama nilikua napata faida haimaanishi nikimpa mtu mwingine asimamie bado faida itakua constant.....so sitaki kubahatisha ni bora niuze vifaaa.
 
N computing device ndio nini??
N computing ni teknolojia inayowezesha kufanya cpu moja ikaendesha monitor kadhaaa ka kompyuta huru. Mfano; unaweza ukawa na cpu moja na vioo (monitor) tano zikiwa na keyboard na mouse zake then teknolojia hii itakusaidia kufanya zile monitor zote zifanye kazi kama kompyuta huru kwa kutumia cpu moja tu.
 
Back
Top Bottom