Natafuta Samsung Trend Lite

Natafuta Samsung Trend Lite

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
777
Reaction score
1,337
Natafuta simu aina ya Samsung Trend Lite either mpya au iliyo kwenye hali nzuri. Kwa aliye nayo anaweza kuandika hapa au akaniPM.

NB: Nahitaji simu hiyo specifically, maana najua mtataka kuniuzia iphone mara Lumia[emoji23]
 
Mkononi hapa nina SAMSUNG S6, nimeitumia kama siku 5. Ni sim original, ina rangi ya Gold.
Inaukubwa wa 4 inches screen.
Internal memory yake ni GB 32, Camera ni 18×8 Mega Pix.
Naiuza 1 milioni [emoji101]
 
Hongera sana kwa kuwa na s6 mkuu..ujumbe umefika.....
 
Hongera sana kwa kuwa na s6 mkuu..ujumbe umefika.....
Sina uwezo wa kumiliki S6 mkuu, hapa napiga mchepuo tu ili nipate cha juu nikanunue debe la mahindi[emoji13]
 
Back
Top Bottom