Suguta Malanga
Member
- May 24, 2016
- 52
- 24
Inauzwa Hotel ambayo haijamalizika pamoja na viwanja vyake viwili ambavyo ni vikubwa sana katika ya mji wa Dodoma . Hotel inaparking ya kutosha na unaweza kujenga hata swiming pool ndani ya eneo hilo na kiwanja chenye msingi hapo hapo kwa anayehitaji tuwasiliane kwa simu nambari 0713773485