Namba ya gari ipo hapo itume tra itakupa details.
Kabla hii system haijawekwa kuna mtu alitaka kuniuzia carina TI milion 2 bado mbichi kabisa kufatilia tra inatumia kadi ya tela la trekta.
Nimeku pm kimya mkuu
Hahah! Pole sana mkuu aya mambo ayaitaji papala aya namba iyo T504 DBA kaipekue unavyo taka alaf lete mrejesho apaNamba ya gari ipo hapo itume tra itakupa details.
Kabla hii system haijawekwa kuna mtu alitaka kuniuzia carina TI milion 2 bado mbichi kabisa kufatilia tra inatumia kadi ya tela la trekta.
Cku hz unaweza kucheki ht kwa simu kipindi kile unakuta mtu jumamosi jioni ndo anataka muuziane sbb tra imefungwa!atakushawishi we ukiingia kingi tu umeumiaHahah! Pole sana mkuu aya mambo ayaitaji papala aya namba iyo T504 DBA kaipekue unavyo taka alaf lete mrejesho apa
Hahaha kweli kabisa asaiv ata ukimfuata askal wa usalama barabaran ukimpa namba anakucheckia mambo yanaendaCku hz unaweza kucheki ht kwa simu kipindi kile unakuta mtu jumamosi jioni ndo anataka muuziane sbb tra imefungwa!atakushawishi we ukiingia kingi tu umeumia
Unaandi ktk uwanja wa message ASSESS kisha namba za gari mfano ASSESS T234EAT unatuma kwenda 15341 inakupa details kiasi flani unaridhika!sio kuja kuuziwa fuso inatumia kadi ya pikipiki.bora pikipiki zimeondolewa katika motor vehicle hivyo huwezi kutumia kadi ya pikipiki kwa gariHahaha kweli kabisa asaiv ata ukimfuata askal wa usalama barabaran ukimpa namba anakucheckia mambo yanaenda
Kwell kabisa mkuu asaiv magumashi nikutaka mwenyeweUnaandi ktk uwanja wa message ASSESS kisha namba za gari mfano ASSESS T234EAT unatuma kwenda 15341 inakupa details kiasi flani unaridhika!sio kuja kuuziwa fuso inatumia kadi ya pikipiki.bora pikipiki zimeondolewa katika motor vehicle hivyo huwezi kutumia kadi ya pikipiki kwa gari
Haya mambo hayataki usanii kabisa siku ukibananishwa hakuna rangi utaacha ona!hiyo gari nzuri afu namba d utauza bila wasiwasi itupie KUPATANA na ile site ingine fasta utauza me nimeuza gari mbili kuleKwell kabisa mkuu asaiv magumashi nikutaka mwenyewe
Poa kunawatu na vutananao bei adi kesho mchana kati ya hao watu nitakua nishafanya maamuzi ya kuuza mungu akijaaliaHaya mambo hayataki usanii kabisa siku ukibananishwa hakuna rangi utaacha ona!hiyo gari nzuri afu namba d utauza bila wasiwasi itupie KUPATANA na ile site ingine fasta utauza me nimeuza gari mbili kule