Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza jug set sh 25000 kwa atakae hitaji no 0656801596
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Wadau heshima kwenu, Nahitaji pikipiki used aina yeyote iwe TOYO,SKYMARK nk. Iwe kwenye hali nzuri na inafanya kazi. Mwenye nayo na anaiuza na yupo ARUSHA anitafute kwenye namba 0752489529...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Nauza Mitsubish canter mayai, engine 4D34, cabin pana, chasis refu, study 6. Bei ni maelewano. Mawasiliano 0754269641 au kwa barua pepe : nanyukiinvestments@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nahitaji pikipiki aina ya boxer kwa ajili ya kusafirishia maua na miche ya miti nipo Moshi ila hata mkoani twaeza fanya biashara 0621068486
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Used Macbook Pro 15inches , model A1260 inauzwa. MacBook Pro (15-inche, 2.4 2.2 Ghz) Processor 2.6Ghz Intel Core 2 Duo Memory 4 GB 667 Mhz DDR2 SDRAM Graphics NVIDIA GeForce 8600 GT 256 MB...
3 Reactions
0 Replies
877 Views
Ninasambaza bidhaa za afya na udafi zenye sifa zifuatazo:- CARE:- Hii ni bidhaa maalum kwaajili ya mambo yafuatayo:- - Inatibu kuku magonjwa mengi hasa KIDELI - Inatibu fangasi sehemu za siri na...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Tunatengeneza motor zilizoharibika... Generator.... Pump za maji na kusuka invetor kwa gharama ya kawaida kabisa tunapatikana Kirumba Mwanza jirani na uwanja wa CCM kwa mawasiliano piga Namba +255...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kiasi cha shilingi 255,000/= Ina miezi miwili, headphone zake kubwa, charger screen protector ya kioo kifupi ipo katika hali nzuri ni pm kwa maelezo zaidi, napatikana dsm
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Habari zenu, Tunapenda kuwajulisha watu wote kua sasa tunatoa huduma za kukusaidia kukata kujua taarifa mbalimbali za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani, meli pamoja na ndege. Unachotakiwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza vyombo Kama hot pot, chupa za chai,sufuria,dinnerset,tray,sahani za udongo na mfupa n.k. Kama hii chupa 15000 tu ukihitaji vyombo Aina yoyote nicheki whatsap number 0656801596 zaid nicheki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza tabket yangu ya itel it 1702 imetumika kwa mwezi mmoja tu bei laki na nusu kwa wenyeji wa kanda ya ziwa tuwasiliane kwa namba 0753868912 na nita poat specification zake baadae kidogo pamoja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa nipo Iringa nahitaji kununua pampu ya maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Hivyo naomba mnisaidie bei zake na nisehemu gani nitapata kwa urahisi na ni aina gani ni imara. Hasa...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
BRAND NEW SAMSUNG NOTE 2 8MP Camera 2GB RAM 32GB internal storage Supports 4G LTE Only 360,000/= Call 0757 716072
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Habari wadau. Natafuta mtu anayeuza kifusi maeneo ya Kigamboni.Najenga maeneo ya vijibweni Kigamboni. Mwenye kifusi anitafute inbox na bei yake kwa lori kubwa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza viwanja eneo la mji mpya Kibamba Mloganzila mita 200 toka kinapojengwa chuo kipya cha Muhimbili. Kuna njia NNE za barabara ya gari kuingilia Kibamba CCM, Kibamba kwa Mangi, Kibamba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi kwanini uendelee kuhangaika kutafuta ada eti ili ukalipie chuo fulani ukasome kozi Fulani na wakati kwa sasa unaweza ukaisoma kozi hio hio kwa njia ya mtandao na wala mtu yeyote asikuingize...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo. Nina Ng'ombe 9 wazuri nauza . Leteni order. Nitumie ujumbe inbox. Winni
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajamvi habari nahitaji gari dogo ya kutembelea BAJETI YANGU NI ML3 hadi 4 iwe na documents zote na isiwe inadaiwa motor vehicle 0759007829 whatsapp (Sitaki Passo )
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nauza flat tv LG LED inch 43 kwa TSH 1200,000/=.ni mpya, kuna mtu aliniagizia toka dubai ila ameshindwa kuilipia, ina miezi miwili tu. Kwa mwenye uhitaji anicheck kwa +255...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Brandnew IPhone 5 for sale Original na Full Boxed 16GB Internal Storage All are Silver in colour Price 440,000 Call 0784780955 or whatsap 0718942311
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Back
Top Bottom