Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Wadau, amani iwe kwenu. Nimekuwa nikiwaza muda mrefu sana juu ya kutengeneza software.
Mimi si mtaalam wa IT ila nitakuwa natoa 'input' kwa huyo mtengenezaji (maana hii software ni eneo langu la specialization) ambaye tutawekeana terms and conditions.
Tafadhari mwenye ujuzi na ambaye yupo tayari tunaweza kuwasiliana PM ama tuma ktk email hii humble2080@yahoo.com.