Kiwanja kinauzwa Tegeta nyuki

bunyebunye

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
530
676
Salaam wana JF.

Kiwanja kinauzwa, kipo Tegeta nyuki kina ukubwa wa square metre 800, Hati ya kiwanja na document zote zipo, huduma za umeme na maji pia zipo kwa jirani tu.

Eneo: Tegeta nyuki, Dar
Bei: Milioni 100(maongezi yapo)

Mawasiliano: 0679308885

Kwa atakaetaka kukiona tuwasiliane.
Karibuni.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Salaam wana JF.

Kiwanja kinauzwa, kipo Tegeta nyuki kina ukubwa wa square metre 800, Hati ya kiwanja na document zote zipo, huduma za umeme na maji pia zipo kwa jirani tu.

Eneo: Tegeta nyuki, Dar
Bei: Milioni 100(maongezi yapo)

Mawasiliano: 0679308885

Kwa atakaetaka kukiona tuwasiliane.
Karibuni.

Hizo bei umechelewa ungeuza mwaka Jana mwaka huu Ni KAZI TU
 
Kwa usawa na MAGU na serikali kuhamia Dodoma hiyo bei ni ngumu kupata mteja, mtu akiona hiyo bei anakata tamaa haja tena ya kupuunziwa
 
Kwa usawa na MAGU na serikali kuhamia Dodoma hiyo bei ni ngumu kupata mteja, mtu akiona hiyo bei anakata tamaa haja tena ya kupuunziwa


Hii ni biashara mkuu, tena kwenye soko huru! huna haja ya kuogopa na kukata tamaa.
Fanya mawasiliano, sema kiasi ulicho nacho kama kina mashiko tunafanya biashara
 
unapoouza mali kama kiwanja jaribu kuweka bei inayoendana na uhalisia wa ukubwa na sehemu ya hiyo mali iliyopo
 
Milion 100 uki badilisha kwenye dollar unapata kama karib $50000 yaani hiyo kiwanja tu tena malipo kwa cash.

Wa Tanzania mnahitaji kwenda kupimwa akili .
Nyingin unakuta nyumba inauzwa dola laki 7 au milion na cash na hizo nyumba nyingi mvua ikinyesha ni matatizo .hii ni dalili ya nchi iliyo kuwa na rushwa kupindukia.
 
Ha ha ha 100mil ???

45mil yenyewe natoa kamjengo kangu kazuuuri hapo bagamoyo n Kiwanza bagamoyo kikiuzwa bei ni 5mil..(usibishr kwa kuwa nnacho kimoja maeneo ya kimarang'ombe 20*20 nimenunua 1mil
)
Alaf hiyo chenji inayobaki hapo nanunua hata ka toyota ist kwa ajili ya kuzugia motaani, chenji inayobaki tena nafungulia biashara nzuuuri ya phone accesories
 
Angalia hii nyumba hazid Dola 100000
South africa tena sehem zilizo tulia na unakopa hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom