Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Bulola Buswelu Mwanza

cliff

Member
Feb 7, 2008
21
32
Kiwanja kidogo kinauzwa Bulola, Buswelu, Mwanza.

- Kipo karibu na St. Helen English Medium Primary School. Kabla ya kuingia centre ya Buswelu.
- Vipimo: 12x26m.
- Documents zote za jiji zipo.
- Ujirani umeendelea sana yaani miundo mbinu yote ipo; maji, umeme, barabara nk.
- Bei 6.5M Sh tu.

Ni PM kama una nia nacho.
 
Ongeza aisee!

Similar Discussions

Back
Top Bottom