Haya hayaaa wakazi wa ARUSHA Gari hilo hapo kazi kwenu
Aina CR-V
Namba A
Ilipo;Mkoa wa ARUSHA
Mapungufu yake
1.Tairi za mbele zimeisha kidogo
2.bodi imepigwa na jua kidogo
3.system;automatic car...
COMPANY ya kukusanya vyuma chakavu zinatafutwa,
Hii ni kampeni ya Nchi za Scandnavia, ya kukusanya vyema chakavu na kuvituma huko,
kinachotakiwa ni Kampuni yenye uwezo mkubwa wa ukusanyaji wa...
Kamata ticket yako ya nyama choma toka tecno Kampuni maarufu ya simu Tanzania imekuja na tiketi za kuifanya wikiend yako iwe imara na ya furaha ha ukizingatia ni mwisho wa mwezi ambapo kila mtu...
Dealers Business card, Brochures, Posters, Calendar, T - Shirt & Caps printing, PVC Stickers, Wheel Covers, Card etc you are welcome
0758339065/0673339065
Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni eneo MWONGOZO karibu kabisa Na Magorofa yaliyojengwa pale Sifahamu ni ya nn .BEI NI MILIONI 60. MAONGEZI YAPO KIDOGO KARIBUNI WASILIANA NA MUUZAJI /MWENYE KIWANJA...
TIMU YA SAFARI TV SHOW.
Safari Tv Show kuptia TV 1 siku ya jumatatu saa 12:00 Jioni, marudio Jumanne saa 6:00 Mchana na alhamisi saa 6:00 Mchana. Tumeamua Kuzunguka nchi nzima na kuonesha kazi za...
Wakubwa salaams, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata mbegu za nyanya aina ya F1 hapa dar es salaam anifahamishe. Ahsante.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Salaam; wapendwa nahitaji Vitunguu swaumu vya Arusha; Naomba msaada niunganishwe na wakulima walioko Arusha au kwenye Soko la jumla Arusha; kwa Dar naona bei imezidi sana; no yangu ni 0716 201695...
Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe...
Habari vijana wenzangu
Mi ni mkulima maeneo ya shinyanga nilietafuta soko la mchele wngu kwa muda mrefu bila mafanikio. Nimelima kiasi cha zaid ya tan52 ninaomba muongozo kwa mwenye kujua masoko...
TAFUTA SHULE CENTER inamsaidia mzazi kwa kumtafutia shule nzuri ya sekondari au chuo kwa mtoto wake ndani ya Tanzania kuligana na mahitaji ya mzazi..
Pia inakupa taarifa zozote muhimu za shule...
BEST MICROSOFT EXCEL EXPERT 0718 75 95 85
Anything you need in microsoft excel, anything you can imagine, automatic data entry, bulk sms, excel programming, data security, automation of...
Haya hayaaa wakazi wa ARUSHA Gari hilo hapo kazi kwenu
Aina CR-V
Namba A
Ilipo;Mkoa wa ARUSHA
Mapungufu yake
1.Tairi za mbele zimeisha kidogo
2.bodi imepigwa na jua kidogo
3.system;automatic car...