Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,130
Kubadili front glass pale kariakoo ni laki na front glass ebay ni around $15Sikuharibii dili lako ila naomba tu utuambie huko samsung walikuambia kuweka kioo kipya bei gani?
Au havipo?
Imeshaenda mkubwa hizo gharama za kutengeneza ni kama unaenda kwa ma agent wenyewe nimenunua kioo ebay nimetengeneza kariakoo jumla nimetumia 150000 nimeipeleka kwa 750550000 + 350000 ya service + 400000 ya kutumika = mpya dukani.
Twende kwa 300k mkononi...