Nahitaji Vazi la Bi Harusi (Shela)

Nahitaji Vazi la Bi Harusi (Shela)

NAXFRA

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
392
Reaction score
75
Wapi nawezapata shera aidha kushona au kununua hata kukod kwa Dar
 
shera la kike au la kiume?

Matatizo kweli. Lugha simple sana. May kwa dunia ya sasa yawezakuwa wanaume wanavaa shela kwa zile ndoa za man united (muunganiko wa wanaume)
 
Shera si huwa ni za unga wa mchele........sasa utashonaje....?.....

Nimekupata, siunajua ukurya ni shida. ila mie nimegoogle nimepata shera ni kitu kingine.
 
Matatizo kweli. Lugha simple sana. May kwa dunia ya sasa yawezakuwa wanaume wanavaa shela kwa zile ndoa za man united (muunganiko wa wanaume)

mbona yapo kibao mkuu, siunajua tena dunia ipo part 2 movie inakaribia kuisha.
 
Tunazo NGUO Za MAHARUSI shela na suti katika duka letu sinza mori dar tunakodisha kwa bei nafuu, Dry cleaning, kupasi& fittings ni juu yetu, wewe ni kuvaa na kuturudishia baada ya harusi. Kwa picha tutakutumia kupitia whatsapp 0769096861
 
Shela zipo kukodi ni 400,000/- mpya from Dubai

Halafu kununua ni laki tisa
 
Nakodisha shella aina za Cinderella nipo Moro bt hadi dar tunakodisha 0713313020
 
Back
Top Bottom