Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hi wanajamii, nahitaji kijana mbunifu wa kunitengenezea APP yangu, nitumie na references zako nione, propose bei, though tutanegotiate, bei iwe nafuu wajameni maana zile bei za kuchaji corporate...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Heshima yenu wakuu Kama kichwa kinavyo jieleza, natafuta mihogo ninunue ambayo imesha vunwa
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauza Pool table Arusha, Ni pool ya kete ndogo, ipo katika hali nzuri. Ina vumbi, inataka kusafishwa Angalia picha, Kwa taarifa zaidi au kuiona Piga 0718 653 453 Bei 550,000
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunapenda kukualika 2 days leaders and Youths fellowship conference by Victor Nkomo kutoka South Africa ni week hii ijumaa na jumamosi tarehe 26 na 27 Katika hotel ya Midland, iliyopo mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Nina kampuni ya kuuza ASALI inaitwa HONEY SPRING iliyopo Morogoro Mjini na ninauza ASALI YA NYUKI WADOGO toka TABORA. Natafuta mjasiriamali aliepo ARUSHA MJINI nifanye nae biashara kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haya hayaaa wakazi wa ARUSHA Gari hilo hapo kazi kwenu Aina CR-V Namba A Ilipo;Mkoa wa ARUSHA Mapungufu yake 1.Tairi za mbele zimeisha kidogo 2.bodi imepigwa na jua kidogo 3.system;automatic car...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
COMPANY ya kukusanya vyuma chakavu zinatafutwa, Hii ni kampeni ya Nchi za Scandnavia, ya kukusanya vyema chakavu na kuvituma huko, kinachotakiwa ni Kampuni yenye uwezo mkubwa wa ukusanyaji wa...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Kamata ticket yako ya nyama choma toka tecno Kampuni maarufu ya simu Tanzania imekuja na tiketi za kuifanya wikiend yako iwe imara na ya furaha ha ukizingatia ni mwisho wa mwezi ambapo kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni mkulima toka Dodoma. Nimelima nyanya lakini soko ni tatizo. Msaada kwa mwenye kujua soko tafadhali 0629 046084
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dealers Business card, Brochures, Posters, Calendar, T - Shirt & Caps printing, PVC Stickers, Wheel Covers, Card etc you are welcome 0758339065/0673339065
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni eneo MWONGOZO karibu kabisa Na Magorofa yaliyojengwa pale Sifahamu ni ya nn .BEI NI MILIONI 60. MAONGEZI YAPO KIDOGO KARIBUNI WASILIANA NA MUUZAJI /MWENYE KIWANJA...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
S6 edge 32gb front screen ime crack ila vingine viko sawa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapi nawezapata shera aidha kushona au kununua hata kukod kwa Dar
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Nitafute humu bei poah sana
0 Reactions
0 Replies
644 Views
TIMU YA SAFARI TV SHOW. Safari Tv Show kuptia TV 1 siku ya jumatatu saa 12:00 Jioni, marudio Jumanne saa 6:00 Mchana na alhamisi saa 6:00 Mchana. Tumeamua Kuzunguka nchi nzima na kuonesha kazi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa salaams, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata mbegu za nyanya aina ya F1 hapa dar es salaam anifahamishe. Ahsante. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
1 Reactions
46 Replies
21K Views
Salaam; wapendwa nahitaji Vitunguu swaumu vya Arusha; Naomba msaada niunganishwe na wakulima walioko Arusha au kwenye Soko la jumla Arusha; kwa Dar naona bei imezidi sana; no yangu ni 0716 201695...
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
karb, 1.3m maelewano yapo,, nipm ntakupa no kwa mawasiliano
3 Reactions
35 Replies
17K Views
Back
Top Bottom