Kamata tiketi ya nyama choma na TECNO

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
234
326
Kamata ticket yako ya nyama choma toka tecno Kampuni maarufu ya simu Tanzania imekuja na tiketi za kuifanya wikiend yako iwe imara na ya furaha ha ukizingatia ni mwisho wa mwezi ambapo kila mtu anataka kwenda kupumzika.

Tamasha kubwa kabisa Tanzania la nyama maarfu kama nyama Choma Festival litakalofanyika jumamosi hii katika vya leaders club kinondoni jijin Dare salaam.

Unachotakiwa kufanya ni kuwafuata (kufollow) au kulike kuta za kampuni ya Tecno katika mitandao yao ya kijamii kisha uandike vitu vitano muhimu kuhusu simu yao maarufu ya Tecno Boom J8 inayofanya vizur sokoni kwa sasa kulinganisha na simu janja zingine.
 
Hizi tecno tabu sana simu mnasema og ila os yake ina behave kama vile ni ka custom rom katengeneza mvuta bange wa huko china
 
Back
Top Bottom