Ni aina gani na una uzaje?Kaka mie nina mihogo kisarawe,, je bado wahitaji?,
Hahahahaaaaaa....!!!Mbegu inaitwa kikapu tele na haina mizizi na ni milaini,, bei bado sijapanga ndo naangalia soko likoje,,, wewe waweza nipa bei yako alafu nitapima,,
Mm ninayo Mihogo anayehitaji ani pmHahahahaaaaaa....!!!
yani wewe una bidhaa alafu hujui unauzaje..!!