Nyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239
70m vp kaka
Mkuu kwa 120 naweza pata?
Hapana mkuu bei haishukiPesa ngumu kaka, Magufuli kafungia. Vipi kwa mil 100
Mkuu kwa 120 naweza pata?
Vipi kwa Laki tano nikuletee fasta mkuu
Ina bonge la uwanja
Mungu atakupa mkuuAisee eeh pesa ntembelee namimi basii! !!!
Naoana pia finishing bado kwa sakafu. Ungeweka pia na picha za ndani ya nyumba si kwa nje tu. Ila kwa bei hiyo kwa miaka hii mhhhh!!! Ngoja waje wenye nazo.
Ndugu ushauri wangu kwa hali ya nchi ilivyo na inavyozidi kuendelea kuwa mshauri muuzaji kwa hao wenye 100-120M akomae awape faster maana ikifika mwakani tu kwenye January hata huyo wa kumpa 100M anaweza kukosaNyumba iko vzr ndani,finishing ni kwenye fensi tu mkuu,na bei iko resoanable kwani viwanja bunju kwa sasa havishikiki.Tena kiwanja kikubwa sana na mazingira mazuri na pia kimepimwa.Ata mwenye kuuza anauzia shida tu
Shida gani?