Nauza Ghorofa kali bei 79milion tu

Nauza Ghorofa kali bei 79milion tu

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
Nyumba ya ghorofa moja iliyo na fensi yenye hati iliyo kwenye kiwanja kikubwa .. yenye vyumba vinne master, sebule, dinning, jiko na choo cha umma ndani kwa 79m
Mbezi mwisho
0689315582 / 0787518644
 

Attachments

  • IMG-20160826-WA0005.jpg
    IMG-20160826-WA0005.jpg
    72.2 KB · Views: 181
  • IMG-20160826-WA0000.jpg
    IMG-20160826-WA0000.jpg
    58.4 KB · Views: 196
  • IMG-20160826-WA0003.jpg
    IMG-20160826-WA0003.jpg
    90.2 KB · Views: 159
  • IMG-20160826-WA0007.jpg
    IMG-20160826-WA0007.jpg
    59 KB · Views: 169
Duu..! Wazee jamaa kasema anauza sasa mkianza ukosoaji sidhani kama ni sahihi sana kwakuwa kama ni kujenga kwa matamanio yake tayari keshafanya hivyo na sasa anauza
 
Na sababu za kuuza isije ikawa ni mgogoro au bomba la dawasco
 
Mtu akiuza kitu chake hapa, wewe hujaamua kununua kwa sababu zako, sioni sababu ya kuponda, wengi wetu humu tunajifanya tuna vyetu, kwa vile tu hatuonani, kumbe wengi wetu hata hizi simu zetu ukiziona zilivyobanwu na raber band utacheka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom